SKU: 9987417019
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 320
O. J. Mosha
Masumbuko alitaka kupata utajiri kwa haraka, akatoroka shule kwenda mjini na akaishia mahabusu. Alipata matatizo mengi na kujifunza mengi. Fuatilia kisa hiki kwa makini ili ujifunze na kuelimika.