• Business Starts Here!

TZS 5,000 - Nyani Mtu


Nyani Mtu Nyani Mtu

SKU: 9987686931
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 335

R. M. Zahor
Nyani Mtu ni kisa cha kusisimua cha Nyani mmoja aliyebadilika na kuwa mwanamke mzuri. Anaolewa na binadamu na kuzaa watoto. Lakini Baadaye anaanza kuota, manyoya, mkia, kubadilika sura na hatimaye kurudia asili yake ya Nyani. Kwani mambo yalikuwaje? Some ili ugundue mkasa mzima.

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product