• Business Starts Here!

TZS 5,000 - Popo, Ndege na Panya


Popo, Ndege na Panya Popo, Ndege na Panya

SKU: 9987686400
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 343

H. Akida & Walter Bgoya
Popo alikuwa akirandaranda na kuzurura akitafuafamilia ambayo ingeweza kumpokea na kumpenda.Kwanza alikwenda kwa panya lakini panya walimkana.Halafu alikwenda kwa ndege, nao pia wakamkataa.Baada ya hapo alikwenda kwa binadamu, na huyo ndiyo kabisaa, akamtimua. Lakini mambo yalikuja yakageuka. Waliomkataa wakataka sasa awe jamaa yao. Soma ugundue hawa ni nani. Katika kisa hiki cha kuhuzunisha na kufurahisha, Popo aliamua hatimae kuwa, “Kumbe ulimwenguii kuna vitu vingine vya maana vya kuwaza kuliko kuwa ndege au panya.”

Contact UsSend Email

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product