• Business Starts Here!

TZS 50k - Magic Moppers Small


Magic Moppers Small Magic Moppers Small

Jipatie magic mopper hii ya kisasa na kijanja kabisa usiyotumia nguvu wakati wa kudekia kwa kuwa inakamua yenyewe na kuzunguka wakati unadeki hivyo kusafisha pande zote katika chumba chako. Ni kiboko ya kufika shemu zilizojificha zaidi ya ufagio wa zamani, hakika hutojutia kuitumia na utapata na extra towel ya kudekia iwapo towel yake itakuwa imekisha. Zinapatikana ka jumla na rejareja karibuni sana

Contact UsSend Email

  • Tanzania Gypsum House
  • Coca-Cola Road
  • Mikocheni Light Industry Area
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product