SKU: 9987417124
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 357
D. M. Simba
Vijana wawili wanaamua kwenda kuutafuta mwisho wa dunia. Wanashindwa katika jaribio lao la kwanza. Baadae wanasafiri kwenda Dar es Salaam. Huko wanajifunza mengi ikiwa ni pamoja na njia saba za kuthibitisha kwamba dunia ni duara. Je, njia hizo ni zipi? Fuatana na Sankuta na Kassessabunga katika safari yao hii ya ajabu.