SKU: 9987686990
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 474
P. Dominic
Nyoka anamkabidhi Kunguru mayai yake ili ayalinde. Kunguru anayala. Nyoka naye anakula makinda ya Kunguru. Mkasa wote huu ulianzia na kuishia vipi? Jisomee ugundue mwanzo wa uadui wa Kunguru na Nyoka.