• Business Starts Here!

Ushujaa wa Fatuma Ushujaa wa Fatuma

Ushujaa wa Fatuma TZS 5,000

SKU: 9987686893
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili
Product ID: 478

F. S. Bosse
Ni heka heka za sherehe ya harusi. Watu wazima wanakimbia na kuhangaikia shughuli hiyo. Wanatoa nafasi ndogo kwa watoto. Hawawasikilizi. Hawawajali. Msichana shujaa, Fatuma, anatumia mbinu ya hali ya juu kuwakumbusha watu wazima kuwa hata wao, yaani watoto, wapo pia. Alifanyaje? Soma ugundue.

Contact Details

  • 24 Samora Avenue
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam
+255787558448

Send Email

Social MediaShare Product