SKU: 9987686915
Categories: Children's, Language, Picture book, Swahili, Translation
Product ID: 83
Published by: Diamond Publishers
Hadithi hii ni ya makatakuni fukara aliyegundua na kuokota dhahabu iliyofichwa kutoka pangoni na majangili arobaini. Hadithi hii maarufu sana na ni moja kati ya hadithi za Uajemi na Uarabuni katika simulizi za Alfu Lela U Lela.