Jipatie beseni la mtoto lililo imara toka Misri lenye muundo wa samaki kwa bei nafuu kabisa kulingana na ubora wake. Beseni hili limetengenezwa kwa kuzingatia afya ya mtoto na viwango vyote vya ubora. Jipatie kwa jumla au rejareja