Karibu ujipatie pot kwa ajili ya mtoto kwa bei nafuu kabisa. Pot hii imetengenezwa Misri kwa kuzingatia vigezo vyote vya ubora na afya za watoto wetu. Karibuni sana kwa kununua jumla au rejareja