Pata bembea nzuri za kuchzea mwanao kwa bei nafuu kabisa, kwa ubora wa bembea hii atachezea mwanao, wajukuu zako na hata wajukuu zake pia wataikuta. Tunauza kwa jumla na rejareja karibuni sana