Zinavutia, bora na za kisasa. Nyumba zote zina vyumba vitatu. Miliki nyumba yako leo kwa pesa taslimu au kwa mkopo wa nyumba (mortgage) kutoka kwa benki washirika.