Karibu ujipatie mchezo huu a bembea kwa mwanao uliotengenezwa kuzingatia mazingira ya Africa na watoto wetu. Mchezo huu ni imara na madhubuti mtoto anaweza kuuchezea sehemu yoyote. Karibu ujipatie kwa ajili ya mwanao tunauza kwa jumla na rejareja