• Business Starts Here!

Girls formal dress, age 5 to 6 years Girls formal dress, age 5 to 6 years

Girls formal dress, age 5 to 6 years

Gauni smart la material nzuri kwa mtoto wa umri wa miaka 5 hadi 6. Nzuri sana kwa kuendea Kanisani au outing. Karibuni wazazi nguo kali na za kijanja. Nguo nzuri za kushindia za watoto .... Njooni tuwapendezeshe watoto.

Contact Details

  • Lunde Street
  • Mwananyamala A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255655881177

Send Email

Social MediaShare Product