Nguo kwaajili ya mtoto wa kike wa umri wa miaka 2 hadi 3. Tight na button top ya cotton. Karibuni wazazi nguo kali na za kijanja. Nguo nzuri za kushindia za watoto .... Njooni tuwapendezeshe watoto.