Nguo ya cotton ya kushindia ya mtoto wa kike. Inafaa kwa mtoto wa mwaka 1 hadi miwili. Karibuni wazazi nguo kali na za kijanja. Nguo nzuri za kushindia za watoto .... Njooni tuwapendezeshe watoto.