Gauni la material ya cotton na silk la mtoto wa miezi 6 hadi 12. Karibuni wazazi nguo kali na za kijanja. Nguo za kushindia za watoto .... Njooni tuwapendezeshe watoto.