• Business Starts Here!

Table Short size Table Short size

Table Short size TZS 50k

Meza nzuri kwa muonekano na ubora wake, meza hii ni fupi na nzuri sana kwa kulia chakula ukiwa umekaa chini au jamvini. Meza hizi zinapatikana zikiwa na michoro ya urembo mbalimbali juu yake. Zinauzwa kwa jumla na rejareja

Contact Details

  • Tanzania Gypsum House
  • Coca-Cola Road
  • Mikocheni Light Industry Area
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255677045403

Send Email

Social MediaShare Product