Nyumba inauzwa Mbweni Mpiji. Haijamalizika kujengwa. Ina vyumba 3 ambavyo master bedroom ni 2, sitting, dinning na jiko. Ipo karibu na Mbweni JKT. Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 648. Imezungushiwa fence. Ina hati pamoja na nyaraka zote muhimu. Bei ina maelewano.