• Business Starts Here!

NYUMBA INAUZWA MBWENI MPIJI

NYUMBA INAUZWA MBWENI MPIJI TZS 110M

Nyumba inauzwa mbweni mpiji,haijamalizika kujengwa ina vyumba 3,master bedroom 2 ,sitting ,dinning ,jiko ,ipo karibu na mbweni JKT, bei ina maelewano ,Ukubwa wa kiwanja ni sqm za mraba 648 ina hati pamoja na nyaraka zote muhimu.


Pia imezungushiwa na fence


Contact Details

  • N.I.C. Life House
  • Sokoine Drive
  • City Center
  • Ilala District
  • Dar es Salaam
+255714981159

Send Email

Social MediaShare Product