• Business Starts Here!

TZS 5.8M - MRADI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA KILUVYA


MRADI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA KILUVYA MRADI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA KILUVYA

Mradi wa viwanja vilivyopimwa kiluvya, karibu na kwa Sumaye. Viwanja vizuri vyenye ukubwa kuanzia mita za mraba 500 hadi  1300. Bei kwa mita moja ya mraba ni Tzs 10,000/=  kwa makazi na 13,000 kwa eneo la biashara ambapo kiwanja cha chini kinaanzia Tshs 5,800,000/=

Njoo jipatie viwanja vya makazi na viwanja vya biashara kwa malipo ya awamu tatu kwa kipindi cha miezi sita (6) bila riba

Eneo la Mradi ni km 8 kutoka barabara kuu ya Morogoro. Pia ni karibu sana na hospital ya Mloganzila.

Contact UsSend Email

  • Classic Mall
  • Goba Road/Bagamoyo Road
  • Mbezi Beach - Masana
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product