• Business Starts Here!

Dodoma, matakwa ya rangi ya paa la nyumba yako


Dodoma, matakwa ya rangi ya paa la nyumba yako Dodoma, matakwa ya rangi ya paa la nyumba yako

Je, Unaishi mkoa wa Dodoma?
Una Marafiki au Ndugu wanaoishi mkoani Dodoma? 
Unahamia Dodoma hivi karibuni? Au unafahamu mtu yoyote anayehamia Dodoma?

Baadhi ya wateja wetu wamewasiliana nasi kwa ajili ya kupata msaada wa kujua aina za rangi za mapaa zinazoendana na Matakwa ya Halmashauri ya Mji wa Dodoma kwa kata zote kama ilivyochapishwa hivi karibuni.

Tungependa kushea nawe (Tafadhali kuwa huru kushea na mwingine) rangi za Mabati yetu ya Decra ambazo zinaendana na Matakwa ya Manispaa ya Mji Wa dodoma.

Tafadhali bofya hapa kupata kujua bei za bidhaa zetu mbalimbali za ujenzi kutoka Nabaki Afrika Ltd.

Contact UsSend Email

  • 27 Coca-Cola Road
  • Mikocheni Light Industry Area
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product