Bakkar chair ni viti vya watoto vinavyokunjika na vilivyo imara kabisa vilivyotengenezwa maalum kwa mazingira ya watoto wetu. Vinapatikana kwa jumla na rejareja. Karibuni sana.