Nyumba ipo karibu na kanisa Katoliki St. GASPAL, (Mbezi Beach Makonde) au Shoppers Plaza Mbezi Beach Makonde. Ina ukubwa wa eneo la kiwanja square meters 1,800. Nyumba ina vyumba 4 vyote self contained. Ina library pamoja na servant quarter. Eneo limezungushiwa na fensi ya matofali. Huduma ya umeme na maji inapatikana muda wote. Umbali kutoka barabara ya lami ni mita 300.