• Business Starts Here!

TZS 150k - Yi Home CCTV camera


Yi Home CCTV camera Yi Home CCTV camera

Yi Home ni CCTV camera inauwezo wa kurecord kwajili ya nyumbani au ofisini. Haihitaji DVR, inajitegemea yenyewe, video zinahifadhiwa kwenye MicroSD card. Pia ina uwezo kuona video zake kwenye simu, laptop au computer kwa kuunganisha na router ya internet. Unaweza kuiweka juu kwenye ceiling au kutumia chini. 

Secure your videos on a micro SD card, own your video content and access video history anytime. Built-in support for 802.11b/g/n 2.4Ghz. Reliable Wi-Fi connectivity to access your camera with YI Home App on mobile device, and YI Home App on PC at anytime, anywhere.

Contact UsSend Email

  • City Mall
  • Bibi Titi Road/Morogoro Road
  • Mnazi Mmoja
  • Ilala District
  • Dar es Salaam


Share Product