• Business Starts Here!

TZS 750k - Garden chairs model 1719


Garden chairs model 1719 Garden chairs model 1719

Kings Chairs kwa ajili ya matumizi ya garden, nyumbani, mahotelini, resorts na sehemu nyingine. Ni viti vizuri na imara vilivyotengenezwa Misri kwa kukidhi mazingira ya Africa na zisizo na madhara ya ngozi utumiapo.Karibu ujipatie seti yako au ata kimoja ukitaka. Tunauza kwa jumla na rejareja, bei iliyopo hapo juu ni ya rejareja kwa seti nzima. Bei ya jumla ni chini ya bei hiyo. Kwa kiti kimoja ni Tshs. 150,000/=

Contact UsSend Email

  • Tanzania Gypsum House
  • Coca-Cola Road
  • Mikocheni Light Industry Area
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam


Share Product