• Business Starts Here!

Nyumba inauzwa Kimara Golani Nyumba inauzwa Kimara Golani

Nyumba inauzwa Kimara Golani TZS 70M

Hii nyumba inauzwa. Ipo Kimara Golani. Ina vyumba 4 ambapo kimoja ni master, dinning, sitting room, store, public toilet na ina msingi wa fensi. Upande mmoja umeinuliwa kidogo. Pamepimwa bado hati. Ina umeme na maji. Umbali kutoka Morogoro road ni kilometer 1.8. Inatazama barabara ya Golani. Bei ni TZS 70 Million. Maongezi yapo.

Contact Details

  • Ubungo Terminal Road
  • Ubungo Mawasiliano
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam
+255759645852

Send Email

Social MediaShare Product