Frames zinapangishwa. Zipo Goba Kulangwa road mtaa wa kwa Temu. Frame kubwa zinapangishwa kaw TZS 500,000 kwa mwezi na frame ndogo TZS 350,000 kwa mwezi. Utalipia advance ya miezi 6. Zipo kwenye barabara ya lami kabisa karibu na stendi. Kuna daladala za kutoka Goba kuelekea Madale. Teremka kituo kinaitwa "kwa Temu". Karibu Sana