• Business Starts Here!

Thermometer, Hygrometer, pima joto na unyevunyevu Thermometer, Hygrometer, pima joto na unyevunyevu

Thermometer, Hygrometer, pima joto na unyevunyevu TZS 65k

Thermometer/Hygrometer. Kifaa hiki ni maalum kwa kupima joto na unyevunyevu kwenye mabanda ya kuku ama mashine za kienyeji za kutotolesha vifaranga. Ni teknolojia ya Ujerumani na zinadumu sana. Sasa zinapatikana jumla na rejareja. Kwa maelezo zaidi tupigie simu kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa "Piga Simu - Call"

Contact Details

  • Near Kairuki Hospital
  • Chwaku Street
  • Regent Estate
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam
+255757117699

Send Email

Social MediaShare Product