• Business Starts Here!

Zahanati ya Makongo Juu


 • Makongo Drive
 • Makongo Juu - CCM
 • Kinondoni District
 • Dar es Salaam

Huduma zinazotolewa:

 • Huduma za wagonjwa wa nje (OPD) 
  • Ushauri wa daktari (Consultation)
  • Huduma ya maabara
  • Dawa
  • Mapumziko
  • Ushauri na upimaji wa virusi vya ukimwi

 • Huduma za Baba, Mama na Mtoto (RCH)
  • Upimaji wa watoto chini ya miaka mitano (Child growth monitoring)
  • Chanjo (Vaccination)
  • Upimaji wa mimba (Antenatal care)
  • Uzazi wa mpango (Family planning)
  • Usafishaji wa mimba kwa kina baada ya kuharibika chini ya wiki 12/Miezi 3 (C-PAC)
  • Huduma rafiki kwa vijana