- Igusure Street
- Mwananyamala A
- Kinondoni District
- Dar es Salaam

-
Phone Numbers
- +255758838822
Huduma zinazotolewa:
- Huduma za wagonjwa wa nje (OPD)
- Ushauri wa daktari (Consultation)
- Huduma ya maabara
- Dawa
- Mapumziko
- Ushauri na upimaji wa virusi vya ukimwi
- Huduma za Baba, Mama na Mtoto (RCH)
- Upimaji wa watoto chini ya miaka mitano (Child growth monitoring)
- Chanjo (Vaccination)
- Upimaji wa mimba (Antenatal care)
- Uzazi wa mpango (Family planning)
- Usafishaji wa mimba kwa kina baada ya kuharibika chini ya wiki 12/Miezi 3 (C-PAC)
- Huduma rafiki kwa vijana