• Business Starts Here!

Vivi Machange Shop


  • Shekilango road
  • Sinza Kamanyola
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

Vivi Machange shop ni wauzaji wa bidhaa mbalimbali za majumbani. Vilevile tunauza michezo na bidhaa kwaajili ya watoto wa kike na wa kiume kutoka Europe na Marekani. Bidhaa zetu ni imara na hazivunjiki hovyo. Karibu ujipatie mahitaji kwaajili ya mtoto wako kutoka kwetu.

Tunafungua saa 4 asubuhi - 2 usiku (Jumatatu hadi Jumamosi) na saa 6 mchana - 12 jioni kwa siku ya Jumapili.