• Business Starts Here!

Tractor Provider Tanzania


  • Hifadhi Industrial Area
  • Morogoro Road
  • Ubungo
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

Tractor Provider ni sehemu pekee ambapo unaweza kununua matrekta aina ya John Deere, Kubota, Fiat New Holland na Massey Ferguson kwa bei nafuu kuliko pengine popote. Tunayo stock kubwa ya matrekta mapya kabisa na yale ambayo ni reconditioned yenye uwezo wa 50hp hadi 85hp  hapa Dar es Salaam, Tanzania. 


Wale wote walio kwenye sekta ya kilimo au wauzaji wa zana za kilimo wanaweza kutembelea ofisi yetu ya Dar es Salaam na kujipatia mahitaji yao kwa gharama nafuu.

Tractor Provider Tanzania | Zana za kilimo

Tractor Provider Tanzania | Zana za kilimo