• Business Starts Here!

Tawheed Islamic School


  • Masjid Tawheed Street
  • Sumbawanga
  • Sumbawanga District
  • Rukwa

Hii ni shule ya Kiislamu inayotoa Huduma za mafunzo ya elimu ya Secondary kuanzia kidato cha kwanza hadi kidato cha nne. Shule ni ya kutwa na Bweni. Shule hii ipo katika mazingira mazuri ya kujisomea na pia hutoa huduma zote za kijamii. "Mlete mwanao apate elimu bora na malezi bora"