• Business Starts Here!

TM Classic Boutique.


  • Shamo Tower
  • Bagamoyo Road
  • Mbezi Beach - Samaki
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Tunauza nguo za kike na za kiume. Karibu ujipatie nguo zenye quality nzuri kutoka Uturuki na Marekani. Tupo wazi kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa tatu jioni. Tupigie simu iwapo una maoni, maulizo au ushauri wowote. 

Karibuni sana mtutembelee kwenye duka letu jingine opposite na Mlimani City.