- Mwenge Tower Sam Nujoma Road
- Mlimani Area
- Kinondoni District
- Dar es Salaam

-
Phone Numbers
- +255752560207
Tunauza nguo za kike na za kiume. Karibu ujipatie nguo zenye quality nzuri kutoka Uturuki na Marekani. Tupo wazi kuanzia saa mbili kamili asubuhi hadi saa tatu jioni. Tupigie simu iwapo una maoni, maulizo au ushauri wowote.
Karibuni sana mtutembelee kwenye duka letu jingine la Shamo Tower.