• Business Starts Here!

Shaman Style


  • Midizini Street
  • Makongo Juu
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Shaman Style ni kampuni inayojihusisha na uuzaji wa mavazi, pochi na mikoba ya wanawake, vitambaa vya nguo aina mbalimbali pamoja na mapambo ya nyumbani. Karibu dukani kwetu uweze kupata bidhaa nzuri zenye ubora wa hali ya juu.