• Business Starts Here!

Seventh Day Adventist Church


  • 40 Morogoro Road/Malolo Street
  • Magomeni Mwembechai
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Tunawakaribisha wote kujumuika kumuabudu na kumtukuza Bwana Mungu wetu. Kanisa letu la Waadventista wasabato wa Magomeni linawakaribisha nyote wageni kwa wenyewji katika utaratibu wa ibada kama ulivyo ainishwa hapa  chini.