• Business Starts Here!

SUNA Health Centre


  • Chalinze Road
  • Yombo Vituka
  • Temeke District
  • Dar es Salaam

Suna Health Centre ni kituo cha Afya kilichopo Yombo Vituka. Tunatoa huduma ya Afya katika mazingira safi na salama. Malipo yote yanakubalika kwa njia ya pesa taslim pia bima ya afya.