• Business Starts Here!

SELF Microfinance Fund
  • Headquarters

  • Letsya Tower
  • 59C Bagamoyo Road
  • Kijitonyama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Mfuko wa SELF unatoa mikopo ya jumla kwa asasi ndogo na za kati za fedha kama vile mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's), vyama vya ushirika wa akiba na mikopo (SACCOS), kampuni za fedha zinazotoa huduma za mikopo na benki za wananchi ili asasi hizi ziweze kutoa mikopo, kwa jamii ambayo haijafikiwa na huduma rasmi za kifedha. Pamoja na kutoa mikopo, pia mfufko hujenga uwezo wa asasi na Wajasiriamali walengwa wanaonufaika na huduma hii. Madhumuni ya mfuko huu ni kutoa huduma endelevu za fedha kwa jamii ambayo haijafikiwa na huduma rasmi za fedah hususan kwa jamii za vijijini.


SELF ni mfuko unaojitegemea ulio chini ya udhamini wa Serikali, unaotekeleza dhana ya Serikali ya kupunguza umaskini wa kupato kama inavyoelekezwa ndani ya MKUKUTA na MKUZA.