• Business Starts Here!

Rose Delicious Catering Services


  • Morogoro Road
  • Magomeni Usalama
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Tunatoa huduma ya catering kwa ajili ya matukio na sherehe mbalimbali ikiwemo harusi, birthday parties au kitchen party. Karibu tukupatie huduma nzuri ya chakula kitamu na wahudumu waliobobea. Tupigie simu tuweze kupanga ni jinsi gani tutakuhudumia.