• Business Starts Here!

Rose'sy Hotel


  • Profesia Road
  • Mwananyamala A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Rose'sy Hotel ipo kilomita takriban 4.1 kutoka soko kuu la Kariakoo na takriban kilomita 5 kutoka soko la samaki la feri. Hoteli yetu inatoa huduma ya bure ya WiFi pamoja na huduma ya chakula na malazi.

Vyumba vyetu vyote vina birika ya umeme ya kuchemshia chai, air condition (Kiyoyozi) pamoja na Television bapa (flatscreen). Huduma ya chai ya asubuhi inapatikana kwa wateja wetu wote.