• Business Starts Here!

Rahabu Ulcers Clinic Centre


  • Morogoro Road
  • Ubungo
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

DR Rahabu Rubonga ni Mgunduzi wa kwanza Duniani kugundua Dawa halisi ya kutibu Vidonda vya Tumbo iitwayo "FITERAWA". Dawa ya FITERAWA inatambulika na Mamlaka mbalimbali husika za serikali ya Jamuhuri ya Tanzania. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1998 imetibu na kuponya zaidi ya wagonjwa 1,000,000 wa vidonda vya tumbo kutoka ndani na nje ya nchi.