• Business Starts Here!

Patmous Lodge


  • Area D Road
  • Area D
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

Karibu Patmous Lodge ni Lodge ya kisasa ambayo inatoa huduma nzuri za malazi. Vyumba vyetu ni vikubwa na vyenye ubora. Vyumba vyote vina AC au feni, TV, maji ya moto na baridi kwaajili ya kuoga. Bei ni pamoja na Breakfast. Tunapatikana njia panda ya Area C. Tunakukaribisha sana.

Bei zetu:
  • TZS 30,000 - Kina feni, TV        
  • TZS 35,000 - Kina full AC , TV    

Angalizo: Bei zinaweza kubadilika bila taarifa za awali. Tafadhali wasiliana nasi kwa simu kuweka oda ya chumba chako.