• Business Starts Here!

Pahi Hotel Dodoma


 • 7th Street (Barabara ya Saba)
 • Madukani
 • Dodoma Mjini District
 • Dodoma

Karibu Pahi Hotel kwa huduma bora za malazi na kifungua kinywa cha kimataifa. Huduma zetu hutolewa kwa ukarimu wa tamaduni za Kiafrika. Chakula kitamu chenya ladha ya Kiafrika kutoka kwa wapishi waliobobea bila kusahau vinywaji vya aina mbalimbali katika mgahawa wetu maridadi. Pahi Hotel tumejizatiti kukupa kilicho bora. 

Bei zetu:
 • TZS 25,000 - Single room
 • TZS 30,000 - Medium room
 • TZS 40,000 - Larger room
 • TZS 50,000 - Double bed room
 • TZS 75,000 - Suite room
Kuna vyumba vilivyoandaliwa vizuri, kila chumba kikiwa ni self contained, madirisha makubwa yenye kuingiza hewa na mwanga wa kutosha. Televisheni iliyounganishwa na channel lukuki utakazobadilisha kupitia remote control, meza ya kusomea, sanduku imara kwa ajili ya laptop na mobile phone yako. Huduma za chumbani (room service) ni masaa 24 pamoja na huduma ya kufua nguo kwa haraka ni siku moja tu.

Karibu Pahi Hotel na ufurahie:
 • Television channels lukuki za nje na ndani ya nchi.
 • Huduma za simu na kufua masaa 24.
 • Chakula safi na kitamu cha uhakika.

Tafadhali zingatia kuwa bei za vyumba zinaweza kubadilika bila taarifa. Tafadhali hakikisha wakati unafanya booking.