• Business Starts Here!

Ngowi Store


  • Kwa Baharia Bus Stop
  • Bagamoyo Road
  • Bunju A
  • Kinondoni District
  • Dar es Salaam

Tunauza vinywaji vikali na vinywaji baridi kwa bei ya jumla na rejareja. Karibu ujipatie vinywaji mbalimbali vya hapa Tanzania na imported ikiwemo wines, spirits, juices na beers za brand mbalimbali.