• Business Starts Here!

New Itega Lodge


  • 11th Street (Barabara ya Kumi na Moja)
  • Madukani
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

New Itega Lodge inatoa huduma nzuri ya malazi hapa Dodoma Mjini. Tupo karibu kabisa na eneo la biashara na tunakaribiana pia na hospitali kuu ya mkoa. 

Bei zetu:
  • TZS 15,000
  • TZS 20,000
Bei zinaweza zikabadilika bila taarifa. Tafadhali thibitisha bei wakati wa kufanya oda ya chumba. Tunakukaribisha sana upumzike nasi.