• Business Starts Here!

Nerisa Lodge Dodoma


  • Bunge Street
  • Makole
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

Karibu Nerisa Lodge Dodoma. Tunatoa huduma nzuri za  malazi na chakula kwa bei nafuu hapa Dodoma. Vyumba vyetu ni visafi na vyenye nafasi ya kutosha. Bei zetu ni nafuu na zinajumuisha pamoja na chai ya asubuhi. 

Bei zetu:
  • TZS 30,000 Chumba bila AC
  • TZS 35,000 Chumba chenye AC

Tafadhali zingatia: Bei zinaweza kubadilika wakati wowote bila taarifa. Tafadhali thibitisha wakati wa kufanya booking. Ahsante.