• Business Starts Here!

Neema Health Center


  • Morogoro Road
  • Kimara Stopover
  • Ubungo District
  • Dar es Salaam

Karibu Neema Health Center. Tunatoa huduma za afya kwa weledi na ustadi wa hali ya juu. Huduma zetu ni kama zifuatavyo: 

  • Out patient - Wagonjwa wa nje
  • In patient - Wagonjwa wa kulaza
  • Laboratory investigation - Utafiti wa maabara
  • Xray and ultrasound 
  • Obstetrics and gynecological consultation - Daktari wa wanawake