• Business Starts Here!

Mpenda Lodge Dodoma


  • 13 Morogoro Road
  • Makole
  • Dodoma Mjini District
  • Dodoma

Karibu Mpenda Lodge Dodoma. Tunatoa huduma bora ya chakula na malazi kwa wasafiri na wenyeji. Vyumba vyetu vyote ni vikubwa na ni self contained ili kukupa furaha zaidi. Bei zetu ni nafuu na zinajumuisha chai ya asubuhi (bed and breakfast). 

Bei yetu:
  • TZS 25,000 - Self contained room yenye kitanda cha 5x6 na hot shower.

Tupo karibu sana na stendi kuu ya mabasi ya mikoani na Bunge. Vilevile tupo wastani wa dakika tano hadi kumi kutokea airport.
 
Tafadhali zingatia: Bei inaweza kubadilika bila taarifa. Tafadhali thibitisha wakati ukifanya booking. Karibu sana.